Aliyekuwa mbunge wa Kasipul azikwa leo nyumbani kwake Oyugis

  • | KBC Video
    2,083 views

    Marehemu mbunge wa Kasipul Charles Ong'ondo Were alizikwa leo nyumbani kwake Oyugis katika hafla iliyosheheni miito ya kuvumiliana kisiasa. Wazungumzaji katika mazishi hayo walitaja mauaji yake kuwa ni kurudi nyuma kisiasa wakitoa wito wa kuwepo kwa amani miongoni mwa viongozi wa kisiasa. Were alisifiwa kuwa kiongozi thabiti na aliyejitolea ambaye alibadilisha maisha ya watu wengi kupitia mtindo wake wa uongozi wa huruma.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive