Skip to main content
Skip to main content

Aliyekuwa mbunge wa Rongo Dalmas Otieno afariki: Aenziwa na viongozi mbalimbali akiwemo rais Ruto

  • | KBC Video
    464 views
    Duration: 4:10
    Biwi la simanzi liligubika kijiji cha Kangeso katika eneo bunge la Rongo kufuatia kifo cha ghafla ya aliyekuwa mbunge wa eneo hilo Dalmas Otieno Anyango. Familia, majirani na viongozi kutoka mirengo yote ya kisiasa wamemwomboleza Dalmas kama kiongozi wa mabadiliko aliyetekeleza jukumu muhimu katika kufanikisha maendeleo katika eneo bunge la Rongo, eneo la Nyanza na katika taifa nzima kwa ujumla. Marehemu Dalmas alipatikana amefariki nyumbani kwake Kileleshwa jijini Nairobi leo asubuhi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive