Aliyekuwa Naibu Rais asema Ruto ameshindwa kuongoza

  • | Citizen TV
    510 views

    Aliyekuwa naibu Rais Rigathi Gachagua amekashifu matamshi ya siku za hivi punde za rais william ruto za kuwalaumu wazazi, makanisa, mashirika ya kijamii na wanasiasa kwa kuchochea maandamano ya kupinga serikali akidai rais ruto amechanganyikiwa kuhusu yanayomsibu