Alpha Chris Onyango anatamba kwenye michuano ya CHAN

  • | Citizen TV
    741 views

    Alpha Chris Onyango alitangazwa mchezaji bora kwenye mechi ya ufunguzi wa CHAN kati ya Harambee Stars na DRC uwanjani Kasarani. Akiwa na miaka 24 pekee, Alpha anapaa kwa kasi kwenye soka barani Afrika.