Skip to main content
Skip to main content

anariadha 1,500 watashiriki mbio za nusu marathon Kapsabet

  • | Citizen TV
    260 views
    Duration: 1:16
    Zaidi ya wanariadha 1,500 wanatarajiwa kushiriki katika awamu ya tatu ya mbio za nusu marathon za Kapsabet, zilizopangiwa kufanyika Aprili tarehe 6 mwaka huu katika kaunti ya Nandi.