Antony Mwangi bado anauguza majeraha ya risasi mwaka mmoja baada ya maandamano ya Gen-Z nchini

  • | Citizen TV
    945 views

    Takriabn mwaka mmoja baada ya maandamano ya Gen Z yaliyosababisha vifo na majeraha, bado kuna baadhi ya vijana wanaouguza majereha ya risasi tangu wakati huo. Mmoja wao ni Antony Mwangi Chege ambaye hajaweza kutembea tangu alipopigwa risasi na polisi wakati wa maandamano hayo ya mwezi Juni mwaka jana.