- 3,343 viewsDuration: 34sTazama Mwanaume huyu alivyoponea chupuchupu kugongwa na gari lililokuwa likiendeshwa kwa kasi na kuingia kwenye kituo cha mafuta alipokuwa mtu huyo. Dereva wa gari hilo pamoja na mwanaume aliyenusurika kugongwa walipata majeraha madogo tu. Kwa mujibu wa mamlaka za eneo hilo, gari hilo lilikuwa likiendeshwa kwa maili 65 kwa saa (sawa na kilomita 104 kwa saa) katika eneo lenye kikomo cha maili 40 kwa saa (kilomita 65 kwa saa). Dereva atashtakiwa kwa kosa la kuendesha kwa uzembe na kuwa na bima ya gari uliyokwisha muda wake. #bbcswahili #ajali #ajaliyabarabara Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw