Skip to main content
Skip to main content

Asilimia 60 ya wagonjwa wa saratani wanakamilisha bima ya SHA mapema

  • | Citizen TV
    155 views
    Duration: 1:50
    Asilimia 60 ya wagonjwa wanaougua saratani wanakamilisha bima yao ya SHA hata kabla ya mwaka kukamilika. Haya yamesemwa na mkurugenzi Mkuu wa Muungano wa mashirika yanayoshughulikia saratani (KENCO), Phoebe Ongadi, alipofika mbele ya kamati ya bunge kuhusu Afya. Ongadi akisema kuwa idadi ya wakenya wanaofariki kila mwaka kutokana na ugonjwa wa saratani ni elfu 29 huku jumla ya visa 44,700 vya saratani zikiandikishwa kufikia sasa akitaka fedha zaidi kutengewa mikakati ya kukabiliana na ugonjwa wa saratani nchini