Askari 244 wa kaunti ya Trans Nzoia wamefuzu leo kuhudumia wakazi wakaunti hiyo

  • | West TV
    56 views
    Askari mia mbili arobaini na wanne wa kaunti ya trans nzoia wamefuzu baada ya kushiriki mafunzo kwa zaidi ya mwezi mmoja hatua ambayo uongozi wa kaunti hiyo unasema itasaidia kuziba pengo la upungufu wa maafisa hao wanaotekeleza sheria za kaunti