Askofu James Maria Wainaina amtaka serikali kutilia maanani masuala yanayowafaidi wakenya

  • | Citizen TV
    101 views

    Askofu wa Kanisa Katoliki jimbo la Murang'a James Maria Wainaina ameitaka serikali kutilia maanani masuala yanayowafaidi wakenya.