19 May 2026 1:58 pm | Citizen TV 484 views Duration: 1:45 Wakazi wa mtaa wa Scheme Jamumbo mjini Kakamega wanaishi kwa hofu baada ya mafuriko kuchimba shimo kubwa la futi hamsini kando ya nyumba zao.