- 135,274 viewsDuration: 3:59OCS wa kituo cha polisi cha central hapa jijini Nairobi Dishen Angoya anatibiwa katika hospitali ya Langata baada ya kukamatwa kisha akaugua. OCS huyo alikamatwa kwa madai ya kuwaachilia huru waandamanaji 64 waliokamatwa jana kwenye mgomo wa matatu uanaondelea