Avamia benki ili kumsaidia dada yake mgonjwa

  • | BBC Swahili
    711 views
    Lebanon inakabiliwa na mzozo mbaya wa kifedha na benki zimeweka vikwazo vikali vya kuzuia kutoa pesa. Hatua hii ilisababisha baadhi ya watu kuvamia benki ili kupata pesa zao wenyewe. Wizara ya mambo ya ndani imelaani mashambulizi hayo ikisema raia hawafai kujichukulia sheria mkononi. BBC imezungumza na mwanamke mmoja aliyevamia benki kwa kutumia bunduki bandia na kukimbia na $13,000 ya pesa za familia yake, kabla ya kujisalimisha kwa polisi. #bbcswahili #venezuela #uchumi