Awamu ya tatu uchunguzi wa miili iliyofukuliwa katika msitu wa Shakahola kukamilika kesho

  • | KBC Video
    33 views

    Awamu ya tatu ya uchunguzi wa miili iliyofukuliwa katika msitu wa Shakahola inatarajiwa kukamilika kesho baada ya mili 9 iliyosalia kuchunguzwa. Hii leo wataalamu wakiongozwa na mwanasaikolojia mkuu wa serikali Johansen Oduor wamefanyia uchunguzi mili 22 ikiwemo ya watoto 12.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #shakahola