Azimio watoa mapendekezo wanayotaka yatekelezwe kabla ya mswada wa fedha wa mwaka 2023 kupitishwa

  • | KBC Video
    44 views

    Muungano wa Azimio la umoja leo umekariri pingamizi zake kwa vipengee kuhusu ushuru kwenye mswada wa fedha wa mwaka 2023. Kiongozi wa muungano huo Raila Odinga amesema mapendekezo kama vile matozo ya nyumba ya asilimia tatu ya mshahara hayajaridhisha wakenya wengi. Viongozi hao wa Azimio wamewahimiza wabunge kukataa nyongesa yoyote ya ushuru.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #darubini #financebill2023