'Nitafanya nini sasa wanangu wamesombwa mbali?'

  • | BBC Swahili
    848 views
    Grishon Waiganjo amepoteza watoto wawili katika mafuriko ya hivi karibuni nchini Kenya ambayo yamesababisha maeneo mengi ya nchi kujaa maji na sasa anakabiliana kuzoea hali ya sasa. #bbcswahili #kenya #mafuriko Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw