Familia yasafirisha mwili kwa tingatinga kutokana na hali mbaya ya barabara Nyandarua

  • | KBC Video
    88 views

    Familia moja iliyofiwa katika Kaunti ya Nyandarua, ilistahimili kile ambacho mtu yeyote hangetamani kimpate. Kusafirisha mwili wa baba yao James Maina nyumbani kwa mazishi haikuwa safari rahisi. Familia hiyo ikipita kwenye barabara zenye matope, kwa kutumia punda na kila mbinu zote za usafiri ziliposhindikana, waliamua kuubeba mwili wake kwa mikono.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive