Azimio yaazimia kushiriki mgomo wa madaktari

  • | Citizen TV
    684 views

    Vinara wa Azimio sasa wanatishia kuungana na madaktari nchini kufanya mgomo. Wakiongozwa na Kalonzo Musyoka, vinara hao wameikosoa serikali wakisema haina nia ya kusuluhisha mgomo wa madakatari huku wakenya wengi wakizidi kuaga dunia kwa kukosa huduma za madakatari.