Skip to main content
Skip to main content

Baa la njaa lakumba zaidi ya watu milioni 2.2 huku kaunti 23 zikiathiriwa na ukame kaskazini

  • | Citizen TV
    366 views
    Duration: 3:31
    Zaidi ya wakenya milioni 2.2 wanakumbwa na baa la njaa kutoka kaunti 23 zilizoathirika nchini. Hali hii pia ikiendelea kuwaathiri watoto haswa katika eneo la Gas kaunti ya Marsabit, ambako utapiamlo umeendelea kuathiri familia kadhaa. Na kama mwanahabari wetu Bonface Barasa anavyoarifu, mifugo pia wameripotiwa kufariki huku shilingi bilioni 2.1 zikihitajika kushughulikia hali ya dharura.