"ODM haitoweza kusimama kama awali kwa sababu mtu aliyebeba dira yake kuu tayari ameaga dunia. Katika siasa, hakuna kitu kinachoitwa usaliti kati ya wanasiasa—usaliti wa kweli ni ule unaofanywa na wanasiasa dhidi ya wananchi. Siasa huzingatia maslahi, si urafiki. ODM haitakuwa sawa tena. Mimi namuona Raila ndani ya Sifuna na Amisi, na ikiwa chama hakitawakubali, basi ni vyema wajitokeze na kuanzisha mwelekeo wao." - Christabel Ndia, Kiongozi wa Vijana
#TV47Matukio
Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'
*About TV47*
'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES.
__
For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047.
__
Connect with us:
Website: https://www.tv47.digital/
Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE
Twitter: https://twitter.com/tv47news
Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/
TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke
Telegram: https://t.me/tv47_ke
WhatsApp: 0797 047 047
__