Baadhi ya majeruhi bado wa maandamano wa Jumatano wanasubiri matibabu hospitalini

  • | Citizen TV
    3,402 views

    Siku tatu baada ya maandamano yaliyosababisha vifo vya watu 19 na wengine 531 kujeruhiwa. Baadhi ya waliojeruhiwa wangali hospitalini wakisubiri kuhudumiwa huku risasi zikiwa bado zimesalia mwilini. Ian Mwangi Maina, aliyepigwa risasi mbili mguuni anasema tangu kufikishwa hospitalini Kenyatta bado hajahudumiwa huku risasi hizo zikimkosesha amani.