Baadhi ya migodi isiyokuwa na leseni yafungwa huko Migori

  • | Citizen TV
    316 views

    Mbunge wa Nyatike Tom Odege na Mwakilishi wa kike kaunti ya Migori Fatuma Mohamed wameelekeza kidole cha lawama kwa Wizara ya madini Kwa kufunga baadhi ya migodi katika kaunti hiyo.