Baadhi ya vijana Migori walalamikia mazingira yasiofaa kwa biashara zao

  • | Citizen TV
    172 views

    Baadhi ya vijana katika Kaunti ya Migori wameibua wasiwasi kuhusu mazingira yasiyofaa ya biashara yanayohusisha hali hiyo na ongezeko la ushuru miongoni mwa changamoto zingine.