Baadhi ya viongozi wa dini, mashirika ya kijamii yanaelezea hofu

  • | Citizen TV
    700 views

    Malalamishi manne dhidi ya Seneta wa Nairobi na mgombea ugavana wa UDA Johnson Sakaja yaliyowasilishwa mbele ya kamati ya kutatua mizozo ya IEBC yatasikizwa jumatano hii. Walalamishi wanapinga hatua ya IEBC kumuidhinisha Sakaja kuwa mgombea wakidai kuwa hana cheti cha Digrii kama inavyohitajika na kwamba alichowasilisha mbele ya tume hiyo ni ghushi.