Baadhi ya viongozi wa kisiasa waisifu serikali ya Kenya Kwanza

  • | Citizen TV
    989 views

    Baadhi ya viongozi wa kisiasa katika kaunti ya Busia wameendelea kutetea uamuzi wao wa kuiunga mkono serikali ya kitaifa wakitaja miradi kadhaa ya maendeleo iliyoanzishwa katika kaunti hiyo na serikali kuu