25 Sep 2025 1:41 pm | Citizen TV 550 views Duration: 1:02 Malalamiko yamemwandama Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja, wiki chache tu baada ya kupewa makataa ya kusawazisha huduma za kaunti.