Baadhi ya wabunge wanataka kamati ya kitaifa ya mazungumzo kubuni kaunti kumi na moja zaidi.

  • | KBC Video
    35 views

    Katika kile ambacho kinatishia kusababisha kura ya maamuzi iwapo kitaidhinishwa, baadhi ya wabunge wanataka kamati ya kitaifa ya mazungumzo kubuni kaunti kumi na moja zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News