- 724 viewsDuration: 1:29Baadhi ya wafanyabiashara katika soko kuu la Kakamega wanakadiria hasara kubwa baada ya moto kuzuka na kuteketeza bidhaa zao. Moto huo unadaiwa kulipuka wakati fundi wa karakana ya kutengeneza mashini ya kukata miti yaani power saw kushika moto , na kuteketeza maduka, vibanda pamoja na gari moja. Wenyeji wakilauma idara ya zima moto ya kaunti kwa kutofika eneo hilo.