Baadhi ya wafugaji kutoka kaunti ya Garissa waacha ufugaji na kuanza kilimo

  • | Citizen TV
    578 views

    Kundi moja la wakulima kutoka eneo la Maalimin kaunti ya Garissa ambao awali walikuwa wafugaji, wameanza kubadilisha maisha yao na kuzamia kilimo baada ya kupoteza mifugo wao kutokana na ukame uliokithiri Kaskazini Mashariki.