Sherehe za Ufunguzi wa Michuano ya BAL msimu wa nne

  • | VOA Swahili
    121 views
    Angalia Sherehe ya Ufunguzi katika kanda ya Nile kwenye michuano ya BAL Msimu wa Nne huko Cairo, Misri. Wachezaji wanashauku ya kushiriki michuano ya Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Afrika (BAL) 2024. Wachezaji wanashikamana pamoja wakiwa na msisimko wa hali ya juu. #msimuwanne #bal #kandayanile #nile #misri #cairo #voa #voaswahili #ligi #MpiraWaKikapu