Baadhi ya wakazi wa Meru wasema hatua ya mazungumzo inafaa taifa

  • | Citizen TV
    754 views

    Wakaazi na wafuasi wa Azimio kutoka kaunti ya Meru wamefurahia makubaliano kati ya Raila Odinga na Rais William Ruto. Hata hivyo, wameonya kuwa ikiwa masuala yaliyoibuliwa na maandamano hayatatatuliwa baada ya wiki moja, watarudi kuandamana.