Kampeni ya kilimo cha kustahimili ukame yaendeshwa katika kaunti za Makueni, Kitui na Taita Taveta

  • | Citizen TV
    717 views

    Kaunti za Makueni,Kitui and Taita Taveta ni baadhi ya maeneo ambayo hupata mvua kidogo na kukabiliwa na changamoto za chakula. Juhudi sasa zikifanywa kuhakikisha kilimo chenye uwezo wa kustahimili ukame. Kampeni hii ikiendeshwa kwa ushirikiano wa Shirika la AICCRA na washika dau wengine. Agnes Oloo alikuwa makueni na kuandaa taarifa ifuatayo.