Skip to main content
Skip to main content

Baadhi ya wakazi waandamana kuhusu soko jipya Aldai

  • | Citizen TV
    104 views
    Duration: 2:04
    Hali ya sintofahamu imeibuka katika soko la Serem Showmap kule Aldai, baada ya wakazi na wafanyabiashara kuandamana kupinga mpango wa kubomoa soko hilo la zamani. Wakazi wanadai kuna njama ya kupuuza makubaliano ya awali kuhusu mahali ambapo soko jipya la kisasa linapaswa kujengwa.