Baadhi ya wakazi wakeketa wasichana usiku huko Garissa

  • | Citizen TV
    164 views

    Wanaharakati wa kupambana na ukeketaji katika kaunti ya Garissa wametamaushwa na baadhi ya wenyeji ambao wangali wanawapasha tohara wasichana kisiri katika sehemu za mashinani kaunti hiyo.