Baadhi ya Wakenya waeleza kuwa hawakuifurahia hotuba ya rais Ruto

  • | VOA Swahili
    332 views
    Kufuatia hotuba ya rais wa Kenya kwa taifa William Ruto kuhusu hali ya taifa, wamekasirishwa na kusema imeshindwa kuonyesha jinsi ya kutatua gharama ya maisha ambayo imeongezeka zaidi nchini, licha ya kwamba rais alieleza kumekuwepo na hali ngumu akimlaumu rais aliyopita Uhuru Kenyatta kwa matumizi mabaya ambayo yamepelekea nchi kutumbukia katika deni kubwa. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.