- 2,490 viewsDuration: 2:42Baadhi ya wakenya wameelezea kutoridhishwa kwao na mwendo wa kobe wa utekelezwaji wa ajenda kumi zilizokubaliwa mwaka jana, baina ya rais William Ruto na hayati Raila Odinga. Wakizungumza jijini Kisumu, wakazi waliishutumu serikali kwa kukosa kuziba nyufa za ufisadi na badala yake kueneza semi kuhusu safari ya Singapore. Waathiriwa wa machafuko ya mwaka elfu mbili na saba pia wanataka kujumuishwa katika orodha ya fidia