Baadhi ya wakulima waanza kupata faida ya ukulima wa chai

  • | Citizen TV
    2,312 views

    Mabadiliko katika sekta ya majani chai yamekuwa yakionekana kana kwanza yanaibua matumaini makubwa kwa sekta hii ya jadi haswa maeneo ya Bonde la ufa na sehemu za Mlima Kenya. Na licha ya malipo ya ziada ya mwaka huu ya majani chai kuwa ya juu zaidi ikilinganishwa na miaka mitatu iliyopita , sekta hii imesalia tamu chungu kwa wakulima