- 293 viewsDuration: 3:27Na huku serikali inapozungumzia mpito wa asilimia 96 ya wanafunzi wa gredi ya 10 walioripoti shule, baadhi ya wanafunzi bado wamesalia nyumbani kwa kukosa karo. Msichana mmoja kaunti ya Kajiado ni miongoi mwa wanafunzi waliokosa karo na mahitaji mengine kujiunga na sekondari ya juu. Haya yanajiri huku washikadau wa elimu wakipinga takwimu za serikali wakidai nusu ya wanafunzi bado wako nyumbani.