Skip to main content
Skip to main content

Baadhi ya wanafunzi wa gredi ya 10 washindwa kuripoti shule

  • | Citizen TV
    107 views
    Na huku serikali ikisalia kimya kuhusu hatma ya baadhi ya wanafunzi wa gredi ya kumi, familia nyingine imeshindwa kumpeleka mwana wao shuleni, licha ya wenzao kuanza masomo mwezi mmoja sasa. Familia moja kutoka eneo la Dandora hapa Nairobi ikishindwa hata kumpeleka mwana wao katika shule ya kutwa.