Baba amlilia Mackenzie | Familia ya Benson Mutimba, Siaya imekumbwa na mahangaiko

  • | Citizen TV
    3,046 views

    Familia moja katika kaunti ya Siaya sasa inanyooshea kidole cha lawama asasi za usalama katika eneo la Malindi wakidai kuwa wamekuwa wakishirikiana na kiongozi wa kanisa la Good News International Paul Mackenzie. Benson Mutimba, aliyewapoteza wanawe wanne kwenye dhehebu hilo potofu kuanzia mwaka wa 2019 ametusimulia jinsi wanawe waliwacha kusoma na kwenda Malindi kuwa wafuasi wa Mackenzie