Baba na watoto wake wawili wa kiume wakamatwa kwa kumchinja ngombe wa wizi na kuunza nyama

  • | West TV
    784 views
    Wanaume watatu ambao ni baba na watoto wake wawili wanazuiliwa katika kituo cha polisi cha mbale kaunti ndogo ya vihiga baada ya kukamatwa usiku wa kuamkia jumatano hii katika eneo la wanondi kata ya chavakali kwa madai ya kuchinja na kuuza nyama ya ng'ombe wa wizi