Babake marehemu Albert Ojwang asema Rais Ruto alimpigia simu kuifarriji familia

  • | Citizen TV
    9,554 views

    Babake marehemu Albert Ojwang, Meshack Ojwang sasa amefichua kuwa Rais William Ruto aliwasiliana naye kwa njia ya simu na kutoa rambi rambi zake. Meshack akieleza kuwa rais ruto alitoa msaada wa shillingi millioni mbili kwa familia.