babake marehemu ojwang alisema rais alifariji familia

  • | Citizen TV
    1,669 views

    Babake marehemu Albert Ojwang, Meshack Ojwang alifichua kuwa Rais William Ruto aliwasiliana naye kwa njia ya simu na kutoa rambirambi zake.