Bajeti ya ICT yapunguzwa kwa shilingi bilioni 5.2

  • | KBC Video
    30 views

    Wadau katika sekta ya habari, teknolojia na mawasiliano wanatarajia kupunguzwa kwa bajeti ,chini ya mpango uliorekebishwa wa matumizi ya pesa ambao huenda ukasababisha kusitishwa kwa miradi mipya na kusimamisha kwa baadhi ya ile inayoendelea.Wizara ya fedha imepunguza bajeti ya wizara ya habari na teknolojia katika kipinidi cha mwaka 2022/2023 kwa shilling billion 5.2.Hii itaathiri utoaji huduma katika shirika la KBC ,shirika la posta na shirika la KNA.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #ICT #News #bajeti #eliudowalo