Helikopta ya Israel yashambulia ikivuka mpaka wake Gaza
Holikopta ya kivita ya Israeli imeonekana ikishambulia kwa makombora wakati ikiruka katika anga la eneo la kaskazini mwa Gaza lililioko mpakani na Jabalia Jumatano, wakati mapigano yakiendelea kuwa mabaya zaidi huko Gaza.
Umoja wa Ulaya umeitaka Israel kusitisha mara moja operesheni za kijeshi kusini mwa mji wa Rafah huko Gaza, wakisema Jumatano kuwa operesheni hiyo inazuia operesheni za usambazaji wa misaada ya kibinadamu na kusababisha watu zaidi kukoseshwa makazi, njaa na matatizo kwa binadamu.
Taarifa hiyo kutoka kwa mkuu wa sera za kigeni za Umoja wa Ulaya Joseph Borell imeeleza kuwa Israel ina haki ya kujihami lakini inasema Israel lazima ifuate sheria za kimataifa na kuwalinda raia.
“Umoja wa Ulaya inaitaka Israel kujizuia kuendeleza hali mbaya ya kibinadamu iliyoko huko Gaza na kufungua tena kivuko cha Rafah,”Borrell alisema. “Iwapo Israel itaendelea na operesheni yake ya kijeshi huko Rafah, itafanya bila shaka uhusiano kati ya EU na Israel kuwa mashakani.
Mapigano kati ya Israel na Hamas yalianza baada ya Oktoba 7 pale shambulizi la kigaidi la Hamas lilipouwa watu 1,200 nchini Israel.
#palestinians #reels #videography #voa #voaswahili
#Haifa #waelaldahdouh #hamzaaldahdouh #shirikalamwezimwekundu
#Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #GalMeirEizenkot #mauaji #jeshi #israel #voa #voaswahili #mwandishi #aljazeera #maghazi #wahouthi #marekani #uingereza #shambulizi #dhamar #yemen #iran #helikopta #shambulizi #unrwa #un
11 Aug 2025
- Several banks experienced a decline in their performance, according to a report.
11 Aug 2025
- The tortoises grow up to 18cm.
11 Aug 2025
- Rice is one of the foods Kenyans consume in large quantities every year.
11 Aug 2025
- The Judiciary is now looking to make a closer and safer step into the future of technology with the latest unveiling of a framework that will guide the integration of Artificial Intelligence (AI) tools in enhancing operations at the Judiciary.
11 Aug 2025
- The High Court has temporarily stopped the government from implementing a Cabinet decision allowing the duty-free importation of 500,000 metric tonnes of rice.
11 Aug 2025
- Interior Cabinet Secretary (CS) Kipchumba Murkomen has reiterated that Democracy for Citizens Party (DCP) leader Rigathi Gachagua must honor the order to record a statement over his remarks on terrorism while in the United States.
11 Aug 2025
- Treasury Cabinet Secretary John Mbadi intends to engage officials from the ministry of education over school capitation crisis.
11 Aug 2025
- A disturbing assault caught on video showing a businessman going by the name Pavilion physically attacking a female content creator, Bella Comedy, at the Kutiti Festival at Nairobi's Carnivore Gardens has triggered widespread outrage.
11 Aug 2025
- Several banks experienced a decline in their performance, according to a report.
11 Aug 2025
- The tortoises grow up to 18cm.
11 Aug 2025
- What respondents said in a survey.
11 Aug 2025
- Twice a week -- on Mondays and Fridays -- a dedicated team of 10 youth patrol a three-km stretch of Coco Beach, collecting up to 400 kg of waste.
11 Aug 2025
- Rice is one of the foods Kenyans consume in large quantities every year.