Skip to main content
Skip to main content

Balozi wa Israel asema ushirikiano na kaunti ya Makueni katika nyanja tofauti utaendelea

  • | Citizen TV
    118 views
    Duration: 1:39
    Balozi wa taifa la Israeli humu nchini Gideon Behar amesema taifa la Israeli litaendelea kushirikiana na Kenya katika maswala mbalimbali ikiwemo afya. Akizungumza mjini wote kaunti ya Makueni alipofungua warsha ya kutoa mafunzo maalum ya matibabu ya watoto kwa madktari na wauguzi zaidi ya 60 amesema uhusiano wa kenya na Israeli ni mzuri na unaendelea kuimarika.