30 Apr 2026 1:28 pm | Citizen TV 82 views Mwanamume mmoja, mwenye umri wa miaka 24, aanazuiliwa na polisi Kisiwani Amu baada ya kupatikana na misokoto 37 ya bhangi, visu vitano, na panga katika eneo la Mkunumbi, kaunti ya Lamu.