Skip to main content
Skip to main content

Barabara ya ajali Isebania

  • | Citizen TV
    951 views
    Duration: 2:06
    Watu wawili walifariki na wengine watatu kujeruhiwa jumapili jioni baada ya lori lililokuwa likisafirisha matofali kupoteza mwelekeo na kuingia kwenye duka katika Kituo cha kibiashara cha Kaawa mjini Migori. Walioshuhudia ajali hiyo wanasema kuwa lori hilo, lililokuwa likielekea Isebania, lilipoteza mwelekeo likikaribia makutano ya njia tatu na kuongeza kasi , kisha likagonga ukuta na kuangukia duka hilo...... Hiyo ni ajali ya sita katika kituo hicho kidogo cha biashara, ambapo watu 8 wamefariki tangu barabara hiyo mbadala ilipoanza kutumika...... Wafanyabiashara katika eneo hilo sasa wanatoa wito wa kujengwa upya kwa barabara hiyo na kuwekwa alama ipasavyo ili kupunguza ajali.......