Skip to main content
Skip to main content

Baraza la magavana lakosoa mfumo wa manunuzi ya serikali kwa njia ya kielektroniki, E-Procurement

  • | KBC Video
    73 views
    Duration: 2:58
    Baraza la magavana limekosoa wizara ya fedha kuhusiana na uzinduzi wa mfumo wa manunuzi ya serikali kwa njia ya kielektroniki, likisema uliharakishwa, una dosari na kwamba unatatiza huduma muhimu. Baraza hilo lilisema mfumo huo ulizinduliwa kitaifa baada ya kufanyiwa majaribo katika kaunti tatu pekee, na umetatiza manunuzi hasa katika sekta ya afya. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive