Baraza la Makanisa NCCK lasifia hatua zilizopigwa tangu kuidhinishwa kwa katiba ya sasa

  • | Citizen TV
    619 views

    Baraza la Kitaifa la Makanisa nchini NCCK limesifia manufaa ya katika, miaka 13 baada ya kuidhinishwa kwa katiba ya sasa. Baraza hili likiorodhesha msururu wa mafanikio yaliyopatikana na wakenya tangu mwaka 2010, japo ikaangazia changamoto na mambo yanayostahiki kuimarishwa.